I draw Childhood Cancer Resources

Angus Olsen began creating visual resources for children and families facing childhood cancer when his 2 year old daughter Jane was diagnosed with Embryonal Rhabdomyosarcoma or ERMS in 2016.

Angus Olsen alianza kutengeneza rasilimali za kuona kwaajili ya watoto na familia zenye watu wenye matatizo ya cancer baada ya mtoto wake wa miaka miwili (2) kugundulika ana cancer aina ya Embryonal Rhabdomyosarcoma au ERMS mwaka 2016.

I draw Childhood Cancer’s website and FaceBook page have many resources and offer visual stories about life and daily routines with childhood cancer. They kindly agreed for us to translate their book ‘My Scans’ into Kiswahili for our children, the english version can be found here. Most recently, they once again kindly offered to transpose a Swahili version of the text of their newest resource ‘My NG Tube’ into their beautiful book! An NG or Nasogastric tube is a hugely useful tool for sick children’s nutritional requirements. This resource will be used by our wonderful Nutritionist Anna and our play therapists Leonard and Margaret to help sick children understand their tubes and remove any fears or worries around them.

Tovuti ya I draw Childhood Cancer’s website na ukurusa wa Facebook zina rasilimali mbalimbali pamoja na kutoa ushauri mbalimbali juu ya maswala ya kuona na ratiba za kila siku kwaajili ya watoto wenye cancer. Wamekuwa wakarimu na kukubali kutafsiri kitabu chao cha ‘My Scans’ kwa Kiswahili kwaajili ya watoto wetu; na kitabu chao cha lugha ya kingereza kinapatikana hapa. Hivi karibuni tena wamekubali kutafsiri kitabu chao kipya kabisa kinachoitwa ‘My NG Tube’ kwa Kiswahili kwaajili yetu. NG au Nasogastric Tube ni msaada mkubwa sana kwa watoto wanaoumwa wakati wa kula vyakula vyenye virutubisho kila siku. Rasilimali hii itatumiwa na Mtaalamu wetu wa Lisha Anna na Mtaalamu wetu Michezo Tiba Leonard na Margaret kwaajili ya kuwasaidia watoto na kuwaondolea wasiwasi wowote watakaokuwa nao.

I Draw Childhood Cancer’s team have so kindly offered these resources to use completely free of charge and have made a huge difference in our children’s lives and comfortability with treatment processes.

Timu ya ‘I draw Childhood Cancer’ wamekuwa wakarimu sana na kutupatia hizi rasilimali kwaajili ya kutumia bure kabisa na hii inasaidia maisha ya watoto wetu kwa kuwapunguzia wasiwasi na hofu wakati wakiwa wanapatiwa matibabu.

Thank you I draw Childhood Cancer – You Are TLM!!!

Asanteni sana I draw Childhood Cancer – Nyie ni Tumaini La Maisha (TLM)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *