Alistidia Albogast

YearKM-24GenderFemaleAge30+Distance21km

Mimi Alistidia Albogast nitashiriki Kili Marathon 21km kwa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto wanaougua Saratani Tanzania. Lengo langu ni kuchangia Tsh 500,000.

Ndugu jamaa na marafiki zangu naomba mniunge mkono kufikia lengo hili. Asanteni

Remember we have a duty to Save Little Lives and to Care for them!

Donate

TSh 695000 of 500000 raised